News

Posted On: Apr 28, 2026

Uwezo wa Kitaaluma kuhusu Usimamizi wa Fedha, Uongozi na Matumizi ya Akili Bandia katika Biashara

News Images

Picha ikionesha washiriki wakifuatilia kwa umakini uwasilishwaji wa mada mbalimbali, huku wakishiriki kikamilifu kwa kuuliza maswali, kutoa maoni na kuchangia hoja wakati wa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo wa Kitaaluma kuhusu Usimamizi wa Fedha, Uongozi na Matumizi ya Akili Bandia katika Biashara. Mafunzo hayo yaliandaliwa na TAA na kufanyika katika Ukumbi wa Oasis, Morogoro, kuanzia tarehe 28 hadi 30 Aprili 2026.