News
Posted On: Jan 28, 2026
Ushiriki na umakini
Picha ikionesha washiriki wakifuatilia kwa umakini uwasilishwaji wa mada wakati wa Mafunzo ya Kutoa Mapendekezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, yaliyofanyika jijini Arusha tarehe 28–30 Januari 2026.
