News
Posted On: May 20, 2026
Mtoa mada akiwasilisha mada kwa washiriki wakati wa Semina ya Usimamizi wa Fedha
Mtoa mada akiwasilisha mada kwa washiriki wakati wa Semina ya Usimamizi wa Fedha, Utawala Bora na Uwajibikaji kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa, iliyofanyika Jijini Arusha, tarehe 20–22 Mei 2026.
Semina ilitoa nafasi ya kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuimarisha uwezo wa kitaaluma katika usimamizi wa fedha na rasilimali za umma.
